Kiota cha ubunifu cha AMCET (AMCET INNOVATION HUB) kinataraji kuendesha program ya ndoto kwa wahitimu wa kidato cha nne 2020, ambayo itaanza disemba 21 mwaka huu.
Program hiyo itafanyika kwa muda wa miezi mitatu, kila siku za kazi kuanzia saa mbili asubuhi mpaka saa sita mchana.
Ili kujiunga na program hii , jisajili katika linki https://forms.gle/nmuaTf1r19AfV5mS6